Mambo marafiki yangu wa mataifa wa Kiswahili! Nilifikiri ni kitu ya kizuri kama nitaandika maneno katika Kiswahili.

Najua katika Milton Keynes kuna watu kutoka Kenya, Tazania na Zanzibar, basi nasema habari yako? Mimi ni mchungaji wa kanisa hii. Nakualika watu wote kanisani, ninyi ambaye kusema Swahili na marafiki yako. Nasema Kiswahili lakini nisikia kidogo kama utasema nami – kidogo sana kama utasema mbio – labda ni bora kama utasema katika kizungu utapofika kanisani!

Top
Follow us: